May 24, 2016

DUNIA INAFIKA UKINGONI: TIZAMA VIDEO Wolper NA Harmonize WAKINYONYANA MATE LIVE.....KWELI Mahaba Niteketeze (Picha+Video)


Wolper na Harmonize (2)
Wolper na Harmonize katika mahaba mazito.
Couple inayokuja kwa kasi Bongo kati ya staa wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper na mwanamuziki anayekimbiza katika Bongo Fleva, Harmonize imezidi ku-make headlines katika mitandao ya kijamii.

Wawili hao walianza kwa siri lakini kwa sasa wameamua kuweka mambo hadharani bila kupepesa macho na kuudhihirishia umma kuwa kwa sasa ni wapenzi na hakuna kificho tena.

Wolper-na-Harmonize-(1)
Katika kuonyesha kuwa ni wapenzi, majuzi wawili hao waliamua kuonyeshana mahaba live bila kujali watu waliokuwa katika sherehe ya kutimiza mwaka mmoja wa kuzaliwa mtoto wa Aunty Ezekiel na Moses Iyobo aitwaye Coolie kama inanyoonekana katika video hii hapa chini.


Paparazi blog
ONEKANA MJANJA: SHARE HABARI HII KWA MARAFIKI ZAKO NA KATIKA MAGROUP YA WHATSAPP FREE (only for mobile)

TUPE MAONI YAKO HAPA!